Asante Charity 2025
Ugawaji wa viti mwendo kwa ajili ya wahitaji;
Nimegundua kundi hili linahitaji kutiwa moyo sana
Biblia inasema;
Watendee wengine unavyopenda nao wakutendee.
Ni Faraja kwangu kuona furaha za makundi haya zikirejea na wakiwa sehemu ya wengine katika jamii
IBADA YA JUMAPILI YA ASANTE
TAR 13/7/2025
OMEGA MINISTRIES CHURCH OF ALL NATIONS
MBEZI BEACH DAR ES SALAAM,TANZANIA


Mtu wa MUNGU Nabii SS ROLINGA akishiriki chakula ,
cha Pamoja na watu wenye uhitaji.
Hii ni ishara ya ‘’UPENDO’’ wa dhati alionao mtu wa MUNGU Nabii SS ROLINGA
kupitia kujitoa kwake kwa namna mbali mbali katika kurejesha ‘’FURAHA’’ kwenye mioyo iliyojeruhiwa kutokana sababu mbali mbali.
NENO LA NABII ss ROLINGA ametamka haya;
“Mungu wangu atawajazeni kila mnachokihitaji,
kulingana na utajiri wake katika utukufu, kwa Kristo Yesu.”
IBADA YA JUMAPILI YA ASANTE
TAR 13/7/2025
OMEGA MINISTRIES CHURCH OF ALL NATIONS

