MKESHA WA NYOTA YANGU KUNG'AA (Dec 24, 2025)
MBAGALA CHARITY
MBAGALA CHARITY EVENT- UNDER PROPHET SS ROLINGA (FOUNDER &OVERSEER OF OMEGA MINISTRIES OF ALL NATIONS)


















MBAGALA CRUSADE
Usiku wa mkesha wa Christmas (Christmas eve) 24 Dec 2024, Katika viwanja vya Mbagala Zakhiem, jijini Dar es Salaam, Mtu wa Mungu Nabii SS Rolinga alifanya Mkutano Mkubwa wa Injili ulioenda sambamba na mkesha ambao ulibeba dhima ya "Usiku wa Nyota yangu kung'aa "
Mkutano huu Mkubwa ulitanguliwa na matukio kadhaa ikiwemo:
1.Michuano ya mpira wa miguu iliyodumu kwa wiki mbili ikihusisha jumla ya timu 16 kutoka jimbo la Temeke,ambapo katika kuhitimisha mashindano hayo mgeni wa heshima alikuwa ni Mbunge wa Jimbo la Temeke Abdala Chaurembo.

















MKESHA WA NYOTA YANGU KUNG'AA
