CHANGING THE WORLD FROM PAIN TO PRAISE

CLINIC OF HEALING 2023

CLINIC OF HEALING 2023

MTU WA MUNGU NABII SS ROLINGA KATIKA PICHA MBALIMBALI AKIMKARIBISHA MGENI WAKE KUTOKA NCHINI ETHIOPIA PROPHET MASERATI, KATIKA UWANJA WA NDEGE WA KIMATAIFA WA JULIUS NYERERE.

ZIARA HII YA PROPHET MASERATI KWA MARA YA KWANZA NCHINI TANZANIA ILIKUWA MAALUMU KWA AJILI YA CLINIC UPONYAJI AMBAYO HUFANYIKA MWEZI APRIL YA KILA MWAKA KATIKA KANISA LA OMEGA.

CLINIC HII YA UPONYAJI ILIFANYIKA MNAMO TAREHE 26 -28 MAY 2023, IKIWA NI MSIMU WA TATU TANGU KUANZISWA KWAKE CHINI YA MTU WA MUNGU NABII SS ROLINGA WA KANISA LA OMEGA MBEZI BEACH AFRICANA, DAR ES SALAAM- TANZANIA .

KUPITIA CLINIC HII MTUMISHI WA MUNGU KUTOKA NCHINI ETHIOPIA PROPHET MASERATI TAYE, ALIPATA NAFASI YA KUHUDUMIA MAMIA YA WATU WALIOJITOKEZA KATIKA CLINIC HIYO, AMBAPO WATU MBALIMBALI WALIFUNGULIWA NA KUWEKWA HURU KUTOKA KWENYE VIFUNGO VYA IBILISI HUKU WENGINE WENGI WAKIKATA SHAURI LA KUOKOKA NA KUMPATIA YESU MAISHA YAO.