CHANGING THE WORLD FROM PAIN TO PRAISE

PROPHET ROLINGA IN ETHIOPIA

PROPHET ROLINGA IN ETHIOPIA

MTU WA MUNGU NABII SS ROLINGA AKIWA KATIKA ZIARA YA HUDUMA NCHINI ETHIOPIA 2024.

KATIKA ZIARA HII NABII ROLINGA ALIMTEMBELEA KAKA YAKE KATIKA RISTO PROPHET MASERATI TAYE.

MBALI NA MAMBO MENGINE PROPHET ROLINGA ALIPATA NAFASI YA KUHUDUMU KATIKA KONGAMANO LA SIKU TATU KWENYE MJI WA NEKEMTE NCHINI HUMO.