SAFARI YA ISRAEL
SAFARI YA ISRAEL
MTU WA MUNGU NABII SS ROLINGA, PAMOJA NA WANAFAMILIA WA OMEGA KUTOKA MATAIFA MBALIMBALI ULIMWENGUNI, WAKIWA KATIKA ZIARA YA KIROHO KWENYE KITONGOJI CHA JAFFA AMBACHO NI KITONGOJI KONGWE ZAIDI HUKO TEL AVIV.
THE MAN OF GOD, PROPHET SS ROLINGA, WITH OMEGA FAMILY MEMBERS FROM DIFFERENT NATIONS AROUND THE WORLD, WERE ON A SPIRITUAL VISIT TO THE JAFFA CENTER, WHICH IS THE OLDEST CENTER IN TEL AVIV.
NABII SS ROLINGA, WANAFAMILIA WA OMEGA ULIMWENGUNI WAKIWA KATIKA KABURI LA YESU AMBALO LINAFAHAMIKA KAMA GARDEN TOMB KWA LUGHA YA KIINGEREZA NA KWA LUGHA YA KIARABU INAFAHAMIKA Bustān Qabr al-Masīḥ
KATIKA ZIARA HII MTU WA MUNGU ALIFANYA MAOMBI MAALUMU YA KULIOMBEA TAIFA LA TANZANIA, NA KANISA KWAUJUMLA.
PROPHET SS ROLINGA, OMEGA FAMILY MEMBERS AROUND THE WORLD AT THE TOMB OF JESUS WHICH IS KNOWN AS THE GARDEN TOMB IN ENGLISH AND IN ARABIC IT IS KNOWN AS Bustān Qabr al-Masīḥ During this visit, the MAN OF GOD MADE SPECIAL PRAYERS FOR THE NATION OF TANZANIA, AND THE CHURCH IN GENERAL.
MTU WA MUNGU AKIWA MBELE YA MTI WA MKUYU KWENYE MJI WA YERIKO, MTI HUU UMEBEBA HISTORIA MAARUFU YA ZAKAYO MTOZA USHURU AMBAYE KUTOKANA NA UFUPI WA KIMO CHAKE, ALIPANDA KWENYE MKUYU ILI KUMUONA YESU. MARA BAADA YA YESU KUFIKA HAPO ALIMUONA NA KUMUITA,NA SIKU HIYO MAISHA YA ZAKAYO YALIBADILIKA.


Luka 19: 1-25
…Hivyo, alitangulia mbio, akapanda juu ya mkuyu ili aweze kumwona Yesu, kwa maana alikuwa apitie hapo. Basi, Yesu alipofika mahali pale, aliangalia juu akamwambia, “Zakayo, shuka upesi, maana leo ni lazima nishinde nyumbani mwako.”
THE MAN OF GOD IN A SYCAMORE TREE IN THE CITY OF JERICHO, THIS TREE HAS CARRIED THE FAMOUS HISTORY OF ZACCHAEUS THE TAX COLLECTOR WHO, BECAUSE OF HIS SHORTNESS, CLIMBED UP A SYCAMORE TO SEE JESUS. IMMEDIATELY AFTER JESUS ARRIVED THERE HE SAW HIM AND CALLED HIM, AND THAT DAY ZACCHAEUS’ LIFE WAS CHANGED.
Luke 19: 1-25 …So he ran ahead and climbed a sycamore tree to see Jesus, for he was going to pass that way. And when Jesus came to the place, he looked up and said to him, “Zacchaeus, hurry and come down, for today I must stay at your house.”


MLIMA WA MAJARIBU (JEBEL QURUNTUL)
MTU WA MUNGU NABII SS ROLINGA AKIWA KWENYE MLIMA WA MAOMBI KATIKA MJI WA YERIKO AMBAPO YESU ALIJARIBIWA NASHETANI AKIWA AMEFUNGA SIKU AROBAINI (40).
LUKA 4:5
Kisha shetani akamchukua hadi juu yamlima mrefu akamwonyesha kwa mara moja miliki zote za dunia…
MOUNTAIN OF TEMPTATION (JEBEL QURUNTUL) THE MAN OF GOD PROPHET SS ROLINGA BEING ON THE MOUNTAIN OF PRAYER IN THE CITY OF JERICHO WHERE JESUS WAS TEMPTED BY THE DEVIL HAVING BEEN FASTED FOR FORTY (40) DAYS.
LUKE 4:5
Then the devil took him up into a high mountain, and showed him in an instant all the kingdoms of the world…
ZIARA KATIKA UBALOZI WA TANZANIA
NCHINI ISRAEL
MTU WA MUNGU NABII AKIWA KWENYE PICHA YA PAMOJA NA BALOZI WA TANZANIA NCHINI ISRAEL MH.JOB MASIMA IKIWA NI ZIARA MAALUMU YA NABII ROLINGA KATIKA OFISI YA UBALOZI WA TANZANIA NCHINI ISRAEL.


A VISIT TO THE TANZANIAN EMBASSY IN ISRAEL THE MAN OF GOD PROPHET ROLINGA IS IN A PICTURE WITH THE TANZANIA AMBASSADOR TO ISRAEL MH.JOB MASIMA AS IT IS A SPECIAL VISIT OF PROPHET ROLINGA TO THE TANZANIA EMBASSY IN ISRAEL.












MTO YORDAN
MTU WA MUNGU AKIWA KATIKA IBADA MAALUMU YA UBATIZO KATIKA MTO YORDANI NCHINI ISRAEL, MAHALI AMBAPO NI HISTORIA YA UBATIZO WA YESU KABLA YA KUANZA HUDUMA RASMI.
THE RIVER JORDAN, THE MAN OF GOD IN A SPECIAL BAPTISM CEREMONY IN THE JORDAN RIVER IN ISRAEL, THE PLACE WHERE JESUS WAS HISTORICALLY BAPTIZED BEFORE BEGINNING HIS OFFICIAL MINISTRY
ZIARA YA KILIMO









ZIARA YA MTU NABII SS ROLINGA AKIWA KWENYE ZIARA MAALUMU YA MFUNZO YA KILIMO KWENYE MOJA YA MASHAMBA YA KILIMO CHA NGANO ILI KUJIONEA TEKNOLOJIA NA UCHAKATAJI WA MAZAO YA KILIMO NCHINI HUMO.
AGRICULTURAL TOUR VISIT OF THE MAN OF GOD PROPHET SS ROLINGA ON A SPECIAL AGRICULTURAL TRAINING TOUR TO ONE OF THE WHEAT FARMING FIELDS TO SEE THE TECHNOLOGY AND PROCESSING OF AGRICULTURAL PRODUCTS IN THE COUNTRY.


















































