HEAL OUR LAND CRUSADE IN TANZANIA 2024
HEAL OUR LAND CRUSADE IN TANZANIA
KATIKA NAMNA ISIYO YA KAWAIDA CHINI YA UVUVIO WA ROHO MTAKATIFU, MTU WA MUNGU NABII SS ROLINGA ALIANDAA MKUTANO MKUBWA WA INJILI ULIOBEBA THEME YA HEAL OUR LAND AFRICA KATIKA UWANJA WA BENJAMIN MKAPA JIJINI DAR ES SALAAM, TANZANIA.
IN AN UNUSUAL WAY UNDER THE MANIFESTATION OF THE HOLYSPIRIT ,THE MAN OF GOD PROPHET S.S ROLINGA PREPARED A GREAT GOSPEL CRUSADE WITH THE THEME HEAL OUR LAND AFRICA AT THE BENJAMIN MKAPA NATIONAL STADIUM IN DAR ES SALAAM ,TANZANIA.



MKUTANO HUU WA KIPEKEE KATIKA HISTORIA YA KANISA LA OMEGA,NA UKANDA KATIKA UKANDA WA AFRICA MASHARIKI ULIFANYIKA KWA MUDA WA SIKU MBILI AMBAZO NI TAREHE 7&8 JUNE 2024.
IN AN UNUSUAL WAY UNDER THE MANIFESTATION OF THE HOLYSPIRIT ,THE MAN OF GOD PROPHET S.S ROLINGA PREPARED A GREAT GOSPEL CRUSADE WITH THE THEME HEAL OUR LAND AFRICA AT THE BENJAMIN MKAPA NATIONAL STADIUM IN DAR ES SALAAM ,TANZANIA.


























MNENAJI MKUU KATIKA MKUTANO HUU ALIKUWA NI MTUMISHI WA MUNGU KUTOKA NCHINI CAMEROON APOSTLE JOHN CHI AMBAYE NI MTOTO WA KIROHO WA HAYATI PROPHET TB JOSHUA WA HUDUMA YA SYNAGOGUE CHURCH OF ALL NATIONS, NIGERIA.
THE MAIN SPEAKER WITHIN THE CRUSADE WAS THE SERVANT OF GOD FROM THE NATION OF CAMEROON ,APOSTLE JOHN CHI WHO IS A SPIRITUAL SON OF THE LATE PROPHET T.B JOSHUA OF THE MINISTRY OF SYNAGOGUE CHURCH OF ALL NATIONS , NIGERIA.


PROPHET SS ROLINGA NA APOSTLE JOHN CHI ,NI WATOTO WA KIROHO WA HAYATI TB JOSHUA AMBAO WANATAMBUA NA KUCHUCHUMILIA NEEMA YA UTUMISHI CHINI YA MTUMISHI WA MUNGU HAYATI TB JOSHUA NA HUDUMA YA SCOAN AMBAYO KWA SASA INAONGIZWA NA PASTOR EVELYN JOSHUA.
PROPHET SS ROLINGA AND APOSTLE JOHN CHI ARE SPIRITUAL SONS OF THE LATE PROPHET T.B JOSHUA THAT RECOGNISE AND HUMBLE UNDER THE GRACE OF MINISTRATION UNDER THE MINISTRY OF THE LATE PROPHET T.B JOSHUA IN THE MINISTRY OF SCOAN WHICH IS NOW LED BY PASTOR EVELYN JOSHUA .


KATIKA MKUTANO WA HEAL OUR LAND, WATU WALISAFIRI KUTOKA ULIMWENGUNI KOTE ILI KUHUDHURIA MKUTANO HUU MKUBWA WA INJILI NA KUPOKEA MAJIBU YA MAISHA YAO KUTOKA KWA MUNGU KUPITIA NEEMA YA MUNGU INAYOFANYA KAZI KUPITIA APOSTLE JOHN CHI.
WATU WENYE MAGONJWA, SHIDA, VIFUNGO NA MATESO MBALIMBALI YA NGUVU ZA GIZA WALIFUNGULIWA NA KUWEKWA HURU KATIKA JINA LA YESU.
SAMBAMBA NA UPONYAJI ULIOTENDEKA, MAMIA YA WATU WALIMPA YESU MAISHA YAO NA KUAMUA KUKOKOKA.
PEOPLE TRAVELLED FROM VARIOUS PLACES IN THE WORLD TO ATTEND THIS GREAT GOSPEL CRUSADE SO AS TO RECEIVE THE ANSWERS OF THEIR LIVES FROM GOD THROUGH THE GRACE OF GOD WHICH WORKS THROUGH APOSTLE JOHN CHI.






